Habari, Natafuta compressor ndogo sana za umeme kwajili ya kukodisha.
Ndio hizi bei gani?
lakimoja kila kimoja.
Nitakupa 800k nataka 10 pamoja na pipe zake na air gage zake.
Hapana ukitana na air gage zake na air pipe ndefu fanya 120,000@1.
120,000x10=1,200,000 naomba kulipa mzigo ukifika.
Hapana lipia cash au lipia kifurushu cha trusted member cha mwaka moja kisha nitakuhudumia.
Sawa nikilipa nitakuambia.
Mkuu najipanga uniletee moja kwanza kwajili ya majalibio