Samsung Galaxy S20 5G SC-51A 128GB*12GB-Mwisho wa mnada 30-12-2025 funga mwaka na simu kali sana.
Maelezo ya SimuÂ
- Sumsaung original kutoka JapanÂ
- Used JapanÂ
- Iko KarikooÂ
- Mwisho wa Mnada 30/12/2025
- Bei inaanzia 100,000.
Malipo baada ya kushinda mnada
- Ukishinda mnada unatakiwa uweke kiasicha pesa sawa na bei then nitakutumia simu yako ukipokea mzigo wako ruhusu pesa yangu.
- Nitakutimia simu pamoja na chaji yake.Â
- Haikisha unani followÂ
- Share hii kwa watu wako wa Karibu
- Like Mnada wangu upate maisha marefu yenye BarakaÂ
- Subsruber huu mnada upate update za mzishindiÂ
Posted : December 19, 2025 5:34 am