Laki moja na nusu
@dedeakadu Asante kwa offa yako,muda wa kupakia mizigo ukifika usipopata upinzani wa bei utaichukua.
Subscribe kupata notifications kwenye minda ya baiskeli na vifaa vingine ujipatie vitu vipya na used original kwa bei nafuu.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿