Unahitaji container zima?
@wendy-jacobs-mwansasu Bei inaendana na quantity ngoja nakupa bei ya box moja usafiri hadi Dar naomba muda kidogo nikusanye taarifa.
@udemy-china sawa alaf nipe bei nusu container na container pia ili niweze kufanya maamuzi