Mwenye Gari lolote ayetaka kuuza haraka nanunua.
Hataka kama bovu unanunua boss?
@ray-kabugumila Weka picha au video toa na maelezo yake.
Unanunua kwabei mbovu au mzuri tukuletee Magari.
@kabanza Unataka kujua bei mzuri na mbovu ili mniletee wewe na nani?