Notifications
Clear all

Naomba msaada kama kuna mtu anajua kihaya na kiswahili

8 Posts
6 Users
3 Reactions
67 Views
(@mjasiriamali)
Posts: 28
20K Trade Bond
Topic starter
 

Kama kuna mtu anaweza tafusiri kihaya kwenda kiswahili naomba anisaidia kutafusiri huu wimbo. Nitampa zawadi nono.

Screenshot 20251122 201154 Gallery

 


 
Posted : November 22, 2025 5:20 pm
(@mjasiriamali)
Posts: 28
20K Trade Bond
Topic starter
 

Olwakyarugila omwaitu.


 
Posted : November 22, 2025 5:25 pm
Kandida reacted
Isaya
(@isaya)
Posts: 5
Honorable Member
 

@mjasiriamali Ngoja tumuite @kabundamwigusi na @kalagutuka waje watusaidie.


 
Posted : November 22, 2025 5:53 pm
Kalagutuka
(@kalagutuka)
Posts: 25
70K Pay Cash
 

Bahati mbaya sijui vizuri kiswahili ila Saida kwenye huu wimbo alikuwa mbele ya muda,huu wimbo una code nyingi ngumu sana kama ukusoka Quba unaweza usielewe vizuri.


 
Posted : November 22, 2025 6:19 pm
Kandida
(@kandida)
Posts: 26
1K Trade Bond
 

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 


 
Posted : November 22, 2025 9:29 pm

Merry Ommy
(@merry-ommy)
Posts: 16
20K PAY Cash
 

Wahaya kazi kwenu.


 
Posted : November 22, 2025 9:45 pm
kabundamwigusi
(@kabundamwigusi)
Posts: 6
100K Trade Bond
 

@mjasiriamali Una bei gani boss nifanye hii kazi?


 
Posted : November 23, 2025 5:59 am
(@mjasiriamali)
Posts: 28
20K Trade Bond
Topic starter
 

@kabundamwigusi 20k iko mezani boss fanya kazi.


 
Posted : November 23, 2025 6:10 am