Tunahitaji kutumia currency moya 😎 😎 😎 😎 😎 😎 😎
Safi sana Uganda 🇺🇬 🇺🇬 🙌🏿🙌🏿
hii currency ya Africa Mashariki tuombe Kenya watupatie Gz moja atutengenezee  mambo ya yasiwe mengi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙌🏿🙌🏿🙌🏿.
Currency Sioni kama ni  shida kuliko lugha,kila nchi  na  lugha yake.
Nadhani tuanzie kwenye lugha. Kila mwanachama  ajifunze  lugha zote za washirika wa A7 tunzie hapo.
Uganda 🇺🇬 🇺🇬🇺🇬🇺🇬Respect ✊Â
Hili soko linaenda kukuza uchumi wa nchi  wanachama wa A7.
Hii ni hatua kubwa sana.