Notifications
Clear all

[Solved] Weka bidhaa zako kwenye maonyesho ya ubunifu kwenye soko la ndani.

2 Posts
1 Users
0 Reactions
41 Views
Content Controller
(@content-controller)
Posts: 8
Admin
Topic starter
 

#Wafanyabiashara wadogo ndani ya  nchi wanachama kupitia kwenye soko la pamoja la Africa Mashariki(East Africa Marketplace) unaweza kuonyeshesha kazi zako au bidhaa ambazo unazitengeneza mwenyewe kisha zile hapa utapata   wateja bilakutumia  nguvu nyingi.

 

  • Bidhoo zote ziwekwe kwenye maonyesho (trade show)hapa watu wazione.
  • Baada ya kuonyesha watu wata likes na  kutoa maoni yao.
  • Ukiulizwa toa  maelezo kwa  wateja wako bila kuchelewa .
  • Kunabaadhi ya watu watanunua bidhaa zako na kukupunguzia mzigo.

#Ndugu  zangu wajasiriamali  watu wengi wanashindwa kuuza bidhaa zao mtandaoni kwasabu ya planforms wanazozitumia,mfao kuna baadhi ya planforms zina watu wengi sana kutokana na kiwango cha juu cha udanganyifu uliko mitandaoni ningumu sana  kuuza hata sindano watu wengi wanashindwa kununua bidhaa mitandaoni kwasabu wanashindwa kujua nani mkweli na muongo.

 

#Kupitia kwenye platforms hizi tumejipanga kuisaidia jamii yetu kufanya biashara mtandaoni au kuongeza mauzo kwenye biashara zetu kwanjia ya mtandao.

 

#Hakikisha una share ujumbe huu uwafikie watu wengi zaidi.Hakikisha unajisajilia na subscribe all new topics itakusaidia kujua na kitu gani kipya kimeweka au nani ka like na ku comment. 

 


 
Posted : October 28, 2025 10:09 am
Content Controller
(@content-controller)
Posts: 8
Admin
Topic starter
 

Usipite bila comment kuliiza swali au maswali pia kutoa maoni yako,itakusaidia kuboresha huduma zetu za  matangazo ya biashara kwanjia ya mtandao kwenye soko la Africa Mashariki.


 
Posted : October 28, 2025 10:23 am