Notifications
Clear all

Kama uko mwanza mjini nakuletea nguo kazini kwako

5 Posts
4 Users
1 Reactions
114 Views
Mtu Kazi
(@mtu-kazi)
Posts: 6
Honorable Member
Topic starter
 

Kama uko mwanza nauza nguo za mtumba kuanzia1,000.

Vigezo weka Trade Bond  ya 1k kisha  niambie ulipo nikuletee nguo.

Bei kuanzia buku kwendelea.


 
Posted : October 16, 2025 5:53 pm
Huruma reacted
Huruma
(@huruma)
Posts: 4
Honorable Member
 

@mtu-kazi wazo zuri mkuu,unacheza na bukubuku watu tupate pamba kali 😍 😍 😍 😍 😍


 
Posted : October 16, 2025 10:03 pm
Mtu Kazi
(@mtu-kazi)
Posts: 6
Honorable Member
Topic starter
 

Karibu sana mkuu,biashara ni mahesabu nikipata watu wangu 20 kila siku mbona najenga hapa mjini

1,000x20=20,000 x30=600,000 hapa mjini najenga nyumba ya Girofa.

Wataje mje sasa na nyie ili tupate riziki,kazi kazi.


 
Posted : October 17, 2025 6:42 am
Cheusi
(@cheusi)
Posts: 13
Honorable Member
 

@mtu-kazi Mbona kama unatupanga?any way Asante kwa Taarifa tutakuwepo.Wekeni hata kapicha ka hizo biashara jamani tuzione kwa macho sio tuzione kwakutumia masikio.


 
Posted : October 17, 2025 7:48 am
Fanny
(@fanny)
Posts: 13
1k Pay Cash
 

Niko mwanza napatataje hizo nguo?


 
Posted : October 25, 2025 6:30 am