Nauza pants za kike na boxer za kiume ukitaka niite waziri wa mambo ya ndani.
bei zangu sio za kutisha Nauza kuanzia 2,000 hadi 100k inatagemea unataka mzigo mwingi kiasigani na wenye quality gani.
niko mtaani sina Duka wala nyumba ukitaka bidhaa zangu tukutane hapa.
Utaratibu wangu wa kuuza nakutumia video na picha size unachagua tukikubaliana Naingia nfukoni naweka Trade Bond napokea pesa yangu Nakutumia mzigo wako maisha yanasonga kidigital.
@leah-tanzania Asante kwa Taarifa tutakuwepo.Wekeni hata kapicha ka hizo biashara jamani.
Kila mtu akikisha unashare kwenye mitandao ya kijamii tatizo mafungua bias maduka online bila kujua na kufuta taratibu zake.
Gays mnaongea sana vitendo zero,hapa sio ticktok hapa huna trade band watu watapita seep ya mwanga kwasabu ya michezo ya kuumizana huko mitandaoni.Â