Vigeza na marti kwa muuzaji.staki longolongo kwenye biashara.
- muuzaji lazima lazima uwe na vitu vifutavyo.
- Sema ukweli kuhusu historia ya hilo Gari.
- Kuwa na Trade Bond ya 10m ambayo nita lock kwa miezi miwili kuchunguza Gari
- ukidanganya kidogo tu kwenye maelezo tunaridi mezani tunaanza upya biashara,sina muda wa kupoteza,
- Pesa iko mezani.
Posted : October 22, 2025 6:25 am