Kwetu ni burundi kwenye muji moja unaitwa Kitega japo nimezaliwa na kukulia Kenye nawapenda sana ndugu zambu wote waburundi especially watu wakitega.
Kupitia kwenye hii planform tunakwenda kupata mawasiliano ya ndugu na jamaa tuolipotezana huko nyunuma.Kama kuna mtu wa kigeta aukama utaone hii post yangu nijibu hapa kwenye comment section nitapa ujumbe wako.
Mimefika Bujumbura kuzuri sana..
Hivi kwa Lugha ya Kirudi salamu mnasalimianaje?