Umri wa miaka 7 nahitaji basikeli ya mtumba.
@full-dose ipo 70,mzigo ukonjiani kuja huko Dar.
kama bado unahitaji naomba unijulishe.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿