kama unasimu mbovu ...
 
Notifications
Clear all

kama unasimu mbovu ilete nikutengezee pia nauza usimu na vifaa vyake niko karikoo

1 Posts
1 Users
0 Reactions
5 Views
Fundi Simu
(@fundi-simu)
Posts: 17
0.000 Pay Cash
Topic starter
 

Kwamajina inatwa shabani.Mimi ni fundi wa kutengeza simu niko karikoo,kama kuna mtu anahitaji ni mabo yafutayo mtengenezee simu yake.Muda ni pesa usikubali kupreza muda wako kuja huku karikoo wakati mimi niko hapa kwajili yako.

Kama uko Dar Es salaam au mkoani  chukua simu nyingi pigapicha simu yako mbovu au spare ya au kituchochote unachokitaka kisha nitumia hapa kwenye page yangu kisha nitakujibu.Usikubali kupoteza muda kuja huku karikoo muda ni pesa.

 

  • Kununua Vifaa vya simu.
  • Simu. 
  • Vitu vingine vinavyopatikana karikoo naomba unicheki.

Usije ukauliza kwanini sina Bond Trade sina mteja nikipata mteja nitaweka kulingana na makubalino au thamani ya biashara ambazo wateja wangu wana request.

Screenshot
iphone2
iphone3
iphone

 

Nitakupatia spare za

  • Sumsung 
  • iphone 
  • nk

 
Posted : October 15, 2025 5:59 am