Kwaniaba ya vijana tulioko nje ya nchi yaani Diaspora pia vijana wengine wengi walioko sehemu mbalimbali nchini na wengine wakiwa bado wanasoma shuleni ningependa kutumia jukwaa hili kuwapongeza Walimu wote Nchini kwa kazi mzuri ya wito mnayoinfanya kuhakikisha vinana wenu tunapata email bora bilakujali changamoto zipi mnazipitia kutimiza majukumu yenu nawapongeza sana,nawashukuru sana Mungu awabariki.
Ndugu zangu wana Daspora ,vijana, na Watanzania kwa ujumla kiu yangu siku moja tukutane na walimu ambao current wanafundisha ngazi ya Msingi na Secondarypia na wastaaf kila moja atoe shukurani zake tuwatie moyo,tupige story nyingi za hapa na pale pia tukumbushane mambo yale ya kubatizana majina bila kusahau kuwapa chochotekile bila walimu tena hawa wachini wanakutana na mengisana hapa kwenye kipindi cha kubalehe ni shida sana.
Najua by that time kuna baadhi ya wanafunzi tulikuwa watukutu tukiambibiwa na walimu au wazazi tunakuwa wabishi kunajifanya wajanja sana tunajificha kwenye majumba mabovu ambayo bado yanajengwa au kwenye Play Station na kwenye vibanda umiza na kukwepa kwenda darasani
sasa vipi huku mtaani kwenu kuna Walimu wanakulazima usome tena sio uko free vipi maisha yako je, kuna muda unakaa unasema zile heseabu nisingezikimbile au nisingekuwa back benchers nisingekuwa hivi ningekuwa kama fula wakati wanawaza it too later,hii natamani kila mtu atupe story zake hapa kwenye jukwaa hili tulizungumze kwa upana ili iwe funzo kwa wadogo zetu wanachulia mambo kimzaha.
Mwisha kabaisa:kama wewe ni mzazi una watoto tulia hivivyo hivyo usianze kumtishia mtoto sijui nitakuua nitakuapasua wewe ulipasiliwa na nani tulia kwanza relax kumbuka kipindi hicho ulikuwa binadamu wa namnagani,ulipitisha watu kwenye mazingirani na ulipasuliwa na nani,hakikisha unasaidia wazazi wako kulingana na kipato choko Mungu atakuongezea malakumi ya kinachototoka.
@diaspora-canada Mleta mada point of Order, Hii thread yako nadhani umelanga St kayumba,sisi tuliosoma Feza International Tusiime St Marrys tu comment wapi sasa?.
@sniper Hatanyie hii thread inawahusu kwani mlijifunza kwa AI sikuna Walimu huku, kawatafute acha ujinga.
Kwaiyo ukiwa hapo Canada umeletewa taarifa kwamba walimu wa Tanzania wanaishi maisha magumu,ukaambiwa watumishi wengine wanaishi maisha ya kifahari?
@kabanza Soma vizuri nilichokiandika,wapi nimeongelea watumishi? relax dogo kisha jipange upya njoo na fact sio uzushi,ebu niambia connection ya nilichokiandika na ulicho comment.
@diaspora-canada kuna mtu moja aliniambia hivi ukiona mtu anaumia Walimu kupongezwa kwa kazi ngumu wanayoifanya bila sababu akaniambia kama sio wana Yanga basi ni moja kati ya wale watukutu walikuwa wakipiga walimu mawe na kujificha mabwenini. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Uzi mzuri sana mkuu,hata mimi natamani tuwape support wanapambana sana,tatizo tunawapataje?
Yes niko pamoja na wewe @Diaspora-Canada inatakiwa kila mtu share hii thread inde viler hadi iwafikie Walimu jamani.
@Admin tunaomba ulinzi, intele jinsia zangu sinaonyesha kuna watu wanataka kuvuruga huu uzi😎 😎 😎 😎 😎 😎 😎 😎 😎
Walimu wa Ruvu Sec napawa hii sijui kama wapo 👍 👍 👍 👍
Kwani Walimu wenyewe wanasemaje?
@grace-ngalawa Kama kweli tunataka kuwasiliana nao kila mmoja hakikisha unawalika Walimu wengi kwenye hii planform kinyuma na hapo tunaongea sisi wewenywe bila walengwa kuwepo.
Naounga mkono hoja lets Subscribe to this topic .
Hiyo point of order yako na mimi kama chairperson nakuambia Take your seat 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣@diaspora-canada Mleta mada point of Order, Hii thread yako nadhani umelanga St kayumba,sisi tuliosoma Feza International Tusiime St Marrys tu comment wapi sasa?.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Kumeanza kuchangamka.
Diaspora mnatuzuga nakujifnya mnaupendo sana na Walimu acha usanii,bado tunakesi na nyie rudini nyumbani wengi mlienda kusoma mkamaliza masomo mko mitaani mnazururaa huko rudi home mkalitumike Taifa lenu.
Tumevunja sheria hipi?Diaspora mnatuzuga nakujifnya mnaupendo sana na Walimu acha usanii,bado tunakesi na nyie rudini nyumbani wengi mlienda kusoma mkamaliza masomo mko mitaani mnazururaa huko rudi home mkalitumike Taifa lenu.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤗 🤗 🤗 🤗 🤗 Wivu huu.Diaspora mnatuzuga nakujifnya mnaupendo sana na Walimu acha usanii,bado tunakesi na nyie rudini nyumbani wengi mlienda kusoma mkamaliza masomo mko mitaani mnazururaa huko rudi home mkalitumike Taifa lenu.
Nitatoa $10,000 kama mchango wangu kwa Walimu endapo nitajilizisha kwamba hii pesa wanaipata moja kwamoja walengwa bila kupitia kwa mtu wapili.
Hii pesa sio kwajili ya kujenga jengo la shule au kujenga miundombinu ya shule hii ni kwajili ya Walimu kufanya matumizi yao.
Tuko pamoja Guys mtakachokubalinana nitapata mrejesho.
Nyie mnaojiita Diaspora mnaomba Admin anipige ban kwakosa gani?kuwakumbusha kurudi nyumbani imekuwa nongwa? Ebu jibuni moja moja kwanini umekomaa ugaibuni , wote mlioko hapa tayari wame graduate vyuo mnafanya nini huko? achana na hizo ngojera bwanaa rudi nyumbani mnatia aibu au mnangoja kufukuzwa?
Mimi niko na nyie, Admin yuko busy ana majukumu mengi ya kufanya au mnata aje hapa awajibie hoja zenu? mna dekadeka kama mziwanda sio?
@kabanza Kwani hapa kuna mtoto wako ,acha mazoe mabaya kwa watu usio wajua, fanya yako,unataka Tukujibu wewe kama nani au nataka watu warudi nyumbani kwani wanaishi kwenu? au umekuwa mpweke nyumbani kwenu unataka watu warudi wakuasiadie kuosha vyombo? ebu cha utoto acha kuzingua,watu wana wana hoja zenye mashiko wewe unaleta utoto.
@kabanza Your account it's permanently suspended, contact the mods (or admin) and ask why it has been suspended.
Twendelea na mada zetu wakuu.
Kituo kinachofata ni wapi?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Panya alikatiza kwa speed ya mwanga.Hawa panya wa mbele ni watundu sana.
Pia na mimi ni Mwali jamani naomba mnitumia hata $100.
Pia na mimi ni teacher kwenye mgao nimo.
hakikisha mnashare hii post hadi tuwafikie walimu wenyewe na sio hawa wa mchango.
Kuna Teacher moja mwanangu sana, nikipata namba yake nitamwambie aje hapa awape hi masela.
Wanafunzi wote ambao walikuwa wamepinda aliwanyoosha baada ya mwamba kuahamia shuleni kwetu kimkakati,wahuni wote walijikataa walijisalimisha ndani ya week moja,ukijichanganya ukaingia kwenye nfumo unapotea.
Zamani wanafunzi walikuwa wanaanza shule wakiwa na umri mkubwa,siku hizi hakuna vibes kama zamani wanafunzi ni wadogo sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mjasiriamali Hawa watoto wa 2000 nakiasi siku hizi wanakaa meza moja na Walimu wanapanga harakati jinzi ya kuendesha maisha ya school,ndiomaana madogo wanazingua sana mtaani🤗 🤗 🤗 🤗 🤗 🤗 🤗.
@kandida Kipindi cha nyuma wanafunzi walikuwa wakarofi sana bila kuwakazia unavuna mabua sio kama siku hizi wanafunzi wanapambana bila hata kuchapwa.
@mjasiriamali Teacher anakuambia hivi 'kama kuna mtu anabisha anyooshe mkono au jifanye kama unajikuna kichwani. Teacher lazima uwe na mkwala,ukiingia shuleni wanafunzi wote kimya 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 ukweli nikwamba ukizoana na mbwa anakufata msikitini,siku zote kama ni Mwalimu wanafunzi wanatakiwa mikausho mikali sana,siowakupiganao selfe,labada wale wadogo sana wa wachekechea .
Siku hizi nakisikia fimbo moja tu kosa kubwa sana, hawa wa 2000 wakichapwa kidogo tu kosa wanazimia sana na nakupoteza fahamu hadi inatwa Ambulance wanapelekwa hospital anaitwa mzazi kwenda kuunguza mambo yanakuwa mengi 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Back benches hata ulaya wapo sio bongo tu.
@karama Hivi adhabu ya viboko ulaya ipo? mtu kama huyu wenzake wanasoma yeye anapiga baruti darasani unamuachaje kwanfano?
Menikumbusha mbali sana.
Hawa wako wengi mtaani wanazingua hadi Police.
Nitatoa $1,000 kwajili ya Walimu.
Leta account tuweke mzigo acha maneno mengi.