Notifications
Clear all

LIVE auction ya TOYOTA ALPHARD YA MWAKA 2007 NAIKATA SPARE PARTS HAPA JAPAN

10 Posts
5 Users
3 Reactions
174 Views
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 546
100M Trade Bond
Topic starter
 
  • Hili Gari mbele yenu ni  Toyota Alphard amabalo litakatwa   spare Jumatatu weeki ijayo,kama kuna mtu yoyote anahitaji spare ya hili Gari au kitu chochote cha Toyota Alphard naomba tusawasiliane kupita kwenye comments section kabla ya tarehe ya mnada jumatatu  13/010/2025.Hili gari ni zima linatembea Engine yake na vifaa vyake vyote vinafanya kazi vizuri Sana, condition yake ndani nfano Viti dashboard kilakitu ni mzuri sana kasoro taa za mbele zina ukungu.

  • Kama unamiliki Gari lolote au kama wewe ni fundi Magari au  wauzaji wa spare za used na mpya leo hahikisha una subscribe hii category ya spare parts itakusaidia sana siku za usoni,tunaandaa mazigira ya kurusha  live vitu mbalimbalia na sio spare pekeyake,online markiting upunguza gharama ambazo upunguza bei ya bidhaa .Kuna vitu vingi sana utavipata kupitia kwenye planform hii pekee.Tuna pakia container  40ft la vitu mchanganyika  kila week kutoka Japan kuja Dar Es Salaa Tanzania.

  • Jinsi ya kulipia spare parts zako ni rahisi sana kwanza  lazima ujisajili kwenye hii planform uwe na account hapa, ukishajisajili kuna mjia za kufanya malipo kwajili ya kupa Bonds,Mbonds  ambazo utumika ku guaranty muuzaji na mnunuzi   kwajili ya manunuzi ya vitu mbalimbali kupitia kwenye planform hii.Baada ya usajili kukamilika utapa options  za   kulipa Bonds zako kwanjia za local kama  CRDB BANK NMB paoja na Lipa  au unaweza kulipa moja kwamoja hapa Japan kwakutumia Bank yoyote pia unawza kutumia digital payments gate ways kama PayPal au Visa nk

  • Kama umebahatika kuona na kusma habari hii please naomba share page hii naomba  kwenye mitando ya kijamii ndugu na marafiki ili tarifa hizi ziwafikie  watu wengi zaidi, asante sana Mungu awabariki..

20230105 075924
20230105 075933
20230105 075952

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : October 11, 2025 8:00 am
Dura reacted
Dura
 Dura
(@dura)
Posts: 30
10K Pay Cash
 
@jonson-john Asante kwa Taarifa mkuu,nashida na side  mirrors za hizo Gari naomba bei mkuu pamoja capets  zake.

Posted : October 11, 2025 8:15 am
Enock reacted
Naancy
(@naancy)
Posts: 5
0.000 Pay Cash
 
Nashida na body zima ukisha fungua vitu vyako vyote tuongee fuvu nahitaji utaniuzia bei gani?

Posted : October 11, 2025 8:18 am
Enock reacted
(@enock)
Posts: 23
1K Trade Bond
 
@naancy Gari langu linasubua masega naomba bei ya nfumo mzima wa upumuaji itakuwa bei gani?

Posted : October 11, 2025 8:25 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 546
100M Trade Bond
Topic starter
 
Posted by: @dura

@jonson-john Asante kwa Taarifa mkuu,nashida na side  mirrors za hizo Gari naomba bei mkuu pamoja capets  zake.

20230123 165229

Nitakuuzi 30,000 kila moja.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : October 11, 2025 8:37 am

exp

Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 546
100M Trade Bond
Topic starter
 
@enock 300,000 mfumo mzima nitakuuzia 300,000.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : October 11, 2025 8:40 am
(@kabandwa)
Posts: 43
30K Trade Bond
 
Nashida na Taa ndogo mbili za kwenye mlango wa nyuma nitazipata kwa bei gani?

Posted : October 11, 2025 8:47 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 546
100M Trade Bond
Topic starter
 
Posted by: @kabandwa

Nashida na Taa ndogo mbili za kwenye mlango wa nyuma nitazipata kwa bei gani?

20230123 165244

  Sema mwenyewe utatoa bei gani?

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : October 11, 2025 9:13 am
(@kabandwa)
Posts: 43
30K Trade Bond
 
@jonson-john nitakua 50k mkuu.

Posted : October 11, 2025 9:30 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 546
100M Trade Bond
Topic starter
 
5FD1AFAC 1088 4279 A9BD 465A476E8502
643B575A E791 4182 85C0 75194A3C02FA

@kabandwa Sawa lipia.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : October 11, 2025 9:51 am