Kama una mtoto kuanzia miaka 5 hadi 10 hii basikeli ina mfaa ,bodo nzima ngumu ni baisikeli ngumu ya mtumba kutoka Japan.kama unahita nikupa bure hakuna hata gharama ya usafiri hata kama unaishi mokani nitakutumia bure bila gharama yoyote.
Niandikie kwenye comments niambie kwanini hii basikeli nikupe wewe na sio mtu mwingine,ukinishawisha naipakia kwenye container mwisho wa mwezi huu linalokuja Dar,mzigo ukifika nitakutafuta nitakupatia uasafiri wako ,kama uko nje ya Dar nakupakilia bure hadi ulipo..
Hii ni baiskeli ya Gia 5 mountain bike,gia zote zinagingi viru.
Hii maama yake ni hakuna mtu anataka?
Naiomba hii baiskeli kwajili ya mwanagu.
@zaitun Ujaniambia sababu kwanini nikupe hii baikeli,kama kuna mtu anahitaji hii basike njoo na sababu za kwa nini nikupe wewe hii basike nitakupa.