Hii baskeli naigawa...
 
Notifications
Clear all

Hii baskeli naigawa mwenye kuhitaji ichukuwe bure

4 Posts
2 Users
0 Reactions
134 Views
Ally Kanagawa
(@ally-kanagawa)
Posts: 136
100M Trade Bond
Topic starter
 
20230101 103107

Kama una mtoto kuanzia miaka 5 hadi 10 hii basikeli ina mfaa ,bodo nzima ngumu ni baisikeli ngumu ya mtumba kutoka Japan.kama unahita nikupa bure hakuna hata gharama ya usafiri hata kama unaishi mokani nitakutumia bure bila gharama yoyote.

Niandikie kwenye comments  niambie kwanini hii basikeli nikupe wewe na sio mtu mwingine,ukinishawisha naipakia kwenye container mwisho wa mwezi huu  linalokuja Dar,mzigo ukifika nitakutafuta nitakupatia uasafiri wako ,kama uko nje ya Dar nakupakilia bure hadi ulipo..

 

Hii ni baiskeli ya Gia 5 mountain bike,gia zote zinagingi viru.


 
Posted : October 7, 2025 2:38 pm
Ally Kanagawa
(@ally-kanagawa)
Posts: 136
100M Trade Bond
Topic starter
 

Hii maama yake ni hakuna mtu anataka?


 
Posted : October 7, 2025 5:36 pm
(@zaitun)
Posts: 14
1k Pay Cash
 

Naiomba hii baiskeli kwajili ya mwanagu.


 
Posted : October 8, 2025 7:11 am
Ally Kanagawa
(@ally-kanagawa)
Posts: 136
100M Trade Bond
Topic starter
 

@zaitun Ujaniambia sababu kwanini nikupe hii baikeli,kama kuna mtu anahitaji hii basike njoo na sababu za kwa nini nikupe wewe hii basike nitakupa.


 
Posted : October 8, 2025 7:22 am