Leo nimekata Mini Pajero bado mpyaa kama unavyoiona kwenye picha. iko hivi watu wananunua spare mbovu kwasababu ya ubishi nakutokuelewa upatikanaji wa spare na bidhaa zingi ukoje.
Mimi nakata spare parts za Magari hapa Japan kulingana na mahitaji ya wateja wangu mtandaoni.
Nanunua Magari mazima na kuyakata spare parts kwaiyo nakuuzia kitu ambacho nakijua historia yake sio kama wale watu wanauza spare baada ya kununua kwa watu wengine.
Kama unataka spare za uhakika hakikisha una jisajili hapa kwenye jukwaa la spare kisha subscribe ili upate upadate za kinachoendelea hapa kwenye jukwaa la spare parts.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Asante kwa taarifa
Milango yote pamoja na wanyuma bei gani?
@fundi-magari Milango yote imechukuliwa.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿