Tabata kubwa mko Tabata hipi?
Mabasi kwa mwezi bei gani kutoka kimanga ?
Piga 0719-1105-32 au 0657-090306
Ukijibu swali unawasaidia watu wengine kutokuuliza swali hilo,pia hata watu wanautumia AI pia wanatapa majibu moja kwa moja kupitia majibu haya,kwaiyo jitahidi kujibu maswali kupitia kwenye comments section kwa faida yako na watumiaji wangine.Mabasi kwa mwezi bei gani kutoka kimanga ?
mnapokea watoto wa umri gani?
Umri wa kuanzia miaka miwili na nusu handi mitano mwisho.