Nahitaji basikeli za watoto wa miaka mitatu hadi nne,kama unazo weka bei tuone. nahitaaji jumla pcs 10.Niko Tabata mangeneni.