OUR COMPANY EVENTS QOUTATIONS – 2025
BEI ZETU ZA HUDUMA ZA KUPAMBA KUMBI TOFAUTI KATIKA MIJI YA DAR, MOROGORO,MWANZA,KAHAMA(SHINYANGA) NA ARUSHA.
Simu no. 0786 399 348 or Whatssap : +255 673 349 348/0655 349 348
Email:celinedecorations@gmail.com
Vist our brog https://celinedecoca.blogspot.com
KUPAMBA MAPAMBO YA HARUSI – KWENYE KUMBI ZA KAWAIDA JIJINI DAR ES SALAAM
Bei zetu – kuanzia watu 150 – 250, bei itakuwa: Tshs.1,350,000/=
kuanzia watu 251 - 300, bei itakuwa : Tshs.1,500,000/=
Bei hii inajumuisha huduma zifuatazo:
* Kupamba ukumbi kisasa zaidi,viti,meza na kufunga mnara wa taa za kisasa
* Kuandaa vitendea kazi vyote na maua ya asili ( natural rose flowers)
* Viti vya Maharusi na wapambe wao (Maharusi, Best man, Matroni na ma -maids)
* Tunapamba meza za maharusi na wazazi wa pande zote mbili (high table)
* Tunapamba magari ya Maharusi,Maids na magari ya wazazi wa pande zote mbili
* Viti vitafungwa sashes,(material ya Oganza za rangi ya sherehe,Meza na tunaweka verse -mezani)
* Maua ya wanakamati – kila mwanakamati atapata ua lake katika sherehe husika
* Tunaweka zuria jekundu katika meza kuu na kwenye njia kuu iendayo meza kuu ( high table.