Nishule inaendeshwa kwa misingi ya Kanisa la Waadventist Wasabato ulimwenguni.Ni kituo pekee,kinachotambua na kufungua uwezo wa mwanafunzi.
Tuna wafanyakazi wenye uwezo,weledi na maarifa ya hali ya juu.Tunatumia kusidi la Mingu kuandaa kizazi kilicho bora kiroho na kimwili.Wanafunzi wetu wanajifunza na kugundua naarifa tofauti tofauti.
Tuna nafasi kwenye madarasa ya awali I II III V na V na VI Ada zetu ni nafuu sana.
Awali TSh 720,000
Msingi Tsh 870,000
Tuna Usafiri wa uhakika.
Wasiliana nasi 0684 205340/0713 634277 au 0624 172831 Wote mnakaribishwa.