Kama kuna mtu mwenye Engine ya 3S naomba tukubalie hapa ninunue hii ya kwangu imeshindikana
niko Sehemu moja inaitwa Kiserwa jirani na Ukerewev.Hii ya kwakungu nimefungua nimekuta ni mbovu kila kitu ya kupima.
@mziwanda mtumba Japan boss unayo nipe bei hakikisha isiwe na kipengele chochote.
Unataka niweke ngapi wakati hata Engine yenyewe bado hata bei hujui bei gani ebu kuwa serious kidogo,
@jonson-john Exactly how much.Hii Engine iko Bongo mkuu?
@ramadi 3ml mzigo uko Japan ukilipia nakupakilia mzigo wako,mzigo ukifika Dar utajulishwa,hii mashine kali inatema maji.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
@jonson-john Utachukua muda gani kufika,je kuna mtu mwingine mwenye Engine hii jamani tufanye biashara?
@kasanga-tumbo mwezi wa 10 mwishoni.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Kwani nani kati ya wewe na @Ramadi anataka hii Engine mbona mnanichanganya?@jonson-john Utachukua muda gani kufika,je kuna mtu mwingine mwenye Engine hii jamani tufanye biashara?
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
@jonson-john Mini ndio nataka hii lakini @Kasanga-Tumbo nifundi alinielekeza kwenye hii planform, nisipokuwa online anaweza kutuma requst yeye bro.
Hii Engine iko paid tayari kama unaweza kuona my account yangu so i am wating for you.
@ramadi Sawa. lakini umetumia kulipia account gani mbona hii iko zero au unamiliki account ngapi mbona mnanichanganya?
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
@jonson-john Tatizo nini boss malipo yakilipwa kupitia account yoyote kuna shida Gani kwani?
Shida ipo ukiwa mbishi hii mashine sipakii, kila mtu abaki na chake,wewe umefungu hii thread kwa account gani unata ulipie kwa account gani? unataka ulipe kwa account tofauti na hii maanayake nini ?@jonson-john Tatizo nini boss malipo yakilipwa kupitia account yoyote kuna shida Gani kwani?
Kama ume deposit pesa kwenye account nyingine kimasoka tofauti na hii bodo mapema,mwambie admin akusaidie kuhamisha na kuileta hiyo pesa kwenye account hii, tofauti na hapo sipakii Engine hadi nione balance kwenye account hii..
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
@jonson-john Sio kwamba nakuchekecha bro mimi mgeni kwenye hizi mambo za online ndio maana sielewi kipi ni kipi,basi sawa mambo yasiwe mengi ngoja namcheki admin,aweke mambo sawa nakurudia soon.
@ramadi Mgeni una account ngapi? Usipateshida kurudi hapa na kuongea sana weka balance kwenye account yako hii uliotumia kufungulia hii thread nitaona nitaendelea na progress kama tulivyo kubalina.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿