Nashida na Cotrobox ya Ya prado 150 body engine 1GD PRADO Automatic.
@kasanga-tumbo Hii mkuu kama unahitaji kutoka Japan inabidi uwe na Unlimited Membership, Kuna gharama kuitafuta hii Control ikipatikana usije ukaingia mitini bro. Ongao vizuri na @admin mkimalizana nitume watu waisake.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
@kasanga-tumbo Ongea na Admin cheki kwenye whatspp yake,au ongea na member mwenye Unlimited hizi kazi ni ngumu sana lengo langu ikipatikika usikimbie kwasabu hii kazi yako ni ngumu sana hii Control ya kutafuta sehemu nyingi sana kuna ghrama.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Usiwaze niko serious bro 😎 nahitaji sana.
There are the required information for us to start the inquiry via comment section and calculate the shipping cost can you can pay membership We will check the price and availability of the mentioned part and get back to you via private messages.
@hirano-motohiro I am going to pay that member soon you view all details you want.
@kasanga-tumbo Bado tunatafuta nitakupa jibu soon.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Thank you for your inquiry.
According to #GDJ150-0084695,
89661A is 89666-60C52.
Unfortunately, the parts you inquired is discontinued.
The manufacturer won't produce it anymore.
We can not find used parts, either.
89666-60C52
We truly apologize for the inconvenience.
If you are interested in any other Japanese auto parts, please feel free to contact us anytime.
We hope to see you again shortly.
Hii ni kipusa mkuu.hakuna kila sehemu hata mjapan hapo juu kachemka sio mchezo.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿