Security system za inahitajikaÂ
za kwenye majumbaÂ
za kwenye MagariÂ
Kama kuna mtu anaweza kunitumia picha na bei naomba tuwasiliane.
Ulipaswa utaje aina ya bidhaa unazozitakaka pamoja na idadi bajet yako nk kuwa specific utume jumla jumla 😎.
@udemy-china Kwani hapo sijaeleweka bro kwani wewe unauza nini hapa?
@mtu-kazi Siuzi kitu naangalia requests za wateja nakuzifanyia kazi nfano ungeweka aina ya camera au majina ya vitu unahitaji ingekuwa rahisi sana ningekupa bei.