Uzalishaji wa asali kwa msimu ni wastan wa ndoo 2 za asali. Na idadi ya mizinga ni 3 ya kisasa na 15 ya kienyeji. kama unahitahi asali karibu sana. Njoo kwenye comments section.
Asali unauzaje ?
Tupe bei boss tujue.
Unauza kwa lita au kwa dumu?