Habari ndugu zangu!
Hivi kutoa container la 40ft la baiskeli used, pcs 600 zikitokea Japan kupitia Tanzania bandarini kwenda Kwolwezi kupitia Zambia Tunduma boda Kasumbalesa boda Lubumbashi via Likasi hadi Kolwezi jumla ni pei gani?
Kampuni zakufanya hizo kazi zinapatikanaje?