Located Japan unaeka oda yako unaletewa.
Kama unataka kujua bei njoo hapa kwenye comments section tuyajenge.
Hizi ziko Tano Jumla.
Angalia muonekano ukiweka pazia za kuzua watu kuona.
Ukitaka na pazia zake kama hizi tunakuuzaia
Muonekano wa mbali Pamoja na pazia zake.
Hizi ziko tatu kwa pamoja.
Hii ni moja.
Jinsi ya kutumia choo bila kukishusha kwenye Gari.
Choo kwandani kilivyo.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
@jonson-john Mobile bafu zipo huku naweza pata?
@rosa-lia Yes zipo nitaku tag ni kufungua thread 🧵 ya Mobile Bafu na Vitu vingine kama. hivi.
Hakikisha unani Follow kupata update ya vitu vizuri kutoka hapa Japan.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿