Notifications
Clear all

NEW LG tv for sale

18 Posts
6 Users
3 Reactions
196 Views
(@mlasu)
Posts: 7
Balance 0.000
Topic starter
 

Habari maboss,tunauza tv za LG model tofauti kwa bei nafuu

LG TVS C
LG SMART 4K/UHD(Latest & Frameless)2025
MODELS
43 inch =995,000
50 Inch =1,250,000
55 inch
1,399,999
65 Inch 2,050,000
75 Inch 2,980,000
Nanocell(Latest & Frameless)

55Nanocell-1,680,000
65 Nanocell =2,280,000

75 Nanocell = 3,200,000
86 Nanocell = 5,380,900
55QNED=1,895,000
65 QNED=2,670,000
75QNED= 4,200,000
86QNED = 5,980,000
Lg Smart Oled(Nyembamba kama Wembe)(Latest
& Frameless)
55B4=2,999,999
55C3 3,750,000
55C4 3,999,999
65B4 4,300,000
65C3 4,650,000
65C4=5,350,000
77C4 8,800,000
83C4=13,500,000

 

Tupo kariakoo Ndanda na muhonda 📍

Screenshot 20250905 121142 Instagram

 


 
Posted : September 5, 2025 10:19 am
Senator, meruly and Jonson25 reacted
(@jonson25)
Posts: 2
Balance 0.000
 

@mlasu Hizi bei ni pamoja na stand zake za  ukutani?


 
Posted : September 5, 2025 10:33 am
meruly
(@meruly)
Posts: 35
70K
 

LG  Inch 65  2,050,000 Bei ya kuuza bei gani?


 
Posted : September 5, 2025 10:48 am
(@mlasu)
Posts: 7
Balance 0.000
Topic starter
 

 
Posted : September 5, 2025 10:53 am
(@mlasu)
Posts: 7
Balance 0.000
Topic starter
 

@jonson25 yes unapata bracket na HDMI


 
Posted : September 5, 2025 10:54 am

meruly
(@meruly)
Posts: 35
70K
 

@admin nahita hii TV naweka depots soon  kaichukue na kuituma kwenye Magari ya classic Kolwezi.


 
Posted : September 5, 2025 11:45 am
(@mlasu)
Posts: 7
Balance 0.000
Topic starter
 

@meruly okay


 
Posted : September 5, 2025 11:57 am
meruly
(@meruly)
Posts: 35
70K
 

@mlasu Hii bei ni pamoja na stand ya kufunga ukuatani?


 
Posted : September 5, 2025 1:20 pm
(@mlasu)
Posts: 7
Balance 0.000
Topic starter
 

@meruly ndio unapata bracket pamoja na HDMI


 
Posted : September 5, 2025 1:27 pm
Ally Kanagawa
(@ally-kanagawa)
Posts: 126
Seller
 
image
image
image
image
image
image
image
  • Jina ni Orion 
  • Mwa 2025 year
  • 65 type 4K 

    width 144.5×

  • depth 29.4×
  • height 89.1cm
    weight  15.8kg

    image performance * tuner
    screen resolution :4K(3840×2160 pixel ) 
    HDR correspondence :HDR10|HLG|Dolby Vision 
    tuner number : ground digital ×2,BS*110°CS

  • digital ×2(※4K broadcast )

    Smart function OS installing

  • Google TV built-in (Chrome cast
  • YouTube|Netflix|Prime Video|UNEXT|ABEMA etc. c )

    sound operation :Google assistant correspondence , sound search 

  • Locatini Ilala Dar Es Salaam 
  • Price 950,000 tu.
  • Inafanya kazi kilakitu,imetengezwa kwa matumizi ya Japan
  • Adapter ya 220v ipo.
  • Stand ipo moja ya chini.

 
Posted : September 5, 2025 1:54 pm

(@jonson25)
Posts: 2
Balance 0.000
 

@ally-kanagawa Hii ina kipengele gani boss?


 
Posted : September 5, 2025 2:27 pm
Senator
(@senator)
Posts: 9
Balance 0.000
 

@ally-kanagawa Grantee  ya muda gani unatoa kaka?


 
Posted : September 5, 2025 2:32 pm
Ally Kanagawa
(@ally-kanagawa)
Posts: 126
Seller
 

@Jonson25 Hiyo Tv ni mzima,bado mpya kabiasa  mkuu usiwaze, huku watu wananunua vitu nakutumia kidogo kisha wanauza,Kama uko serious weka pesa isome kwanza kisha toa location.

Kama uko Dar utafungiwa TV yako utaangalia kwa nuda wa siku mbili kisha lipa pesa yangu, ukishwanda kulipa  ndani ya muda wa siku mbili nitamuomba  @admin yupo kazini,lakini kama una zero balance tusichoshane.

Yeyote anayetaka hii TV kama uko  serious nakupeni   option mbili unaenda dukani kwangu ilala  unalipia unaondoka na mzigo wako au unaweka hela kwenye account yako unaletewa mlangoni, hiyo bei 950,000 Tsh  ni pamoja na  kufungiwa TV yako baada ya ku delivery .Kama uko nje ya Dar   unatumiwa baada ya kuweka pesa kwenye account yako.

@senator hakuna grantee bro, ukitaka utwashiwa  kwenye  kig'amuzi pia na wi-fi  baada ya hapo ukianguka nayo njiani ukirudi tunakukataa.


 
Posted : September 5, 2025 3:05 pm
Senator
(@senator)
Posts: 9
Balance 0.000
 

@ally-kanagawa Sawa naomba week moja mkuu hiyo TV niichukue malipo yakamilike baada ya week moja,nikuekeze seme ya kuipeleka. 

Kama unayngine hapo Dar unaweza kunitaarifu tujue chakufanya boss.pia siombaya  ukitumia namba yako ya simu ya whatspp kwajili biashara.


 
Posted : September 5, 2025 3:21 pm
meruly
(@meruly)
Posts: 35
70K
 

@Ally-Kanagawa naomba mambo yasiwe mengi tumalize hiyo biashara@admin i agree to pay that Tv from my balance 1,ml to buy TV  Type of ORION above for 950,000 Tsh. Please accept the payment @Ally-Kanagawa tutachukulia maelezo yako hapo juu  kama ushahudi baada ya kupokea mzigo.


 
Posted : September 5, 2025 3:35 pm

(@mlasu)
Posts: 7
Balance 0.000
Topic starter
 

@ally-kanagawa mimi ni mpya hapa kwenye hii platform, hii ni platform kama nyingine ambayo ni UGC kama zilivyo nyingine. 

Kwanini usiazishe thread ya kwako ukapost bidhaa yako kama nilivyofanya mimi?

Najua sheria haikukatazi lakini tumia common sense na behave


 
Posted : September 5, 2025 3:39 pm
Digxam
(@digxam)
Posts: 69
Admin
 

Posted by: @meruly

@Ally-Kanagawa naomba mambo yasiwe mengi tumalize hiyo biashara@admin i agree to pay that Tv from my balance 1,ml to buy TV  Type of ORION above for 950,000 Tsh. Please accept the payment @Ally-Kanagawa tutachukulia maelezo yako hapo juu  kama ushahudi baada ya kupokea mzigo.

Noted.

 


 
Posted : September 6, 2025 7:45 am
Ally Kanagawa
(@ally-kanagawa)
Posts: 126
Seller
 

@meruly Asante sana!


 
Posted : September 8, 2025 11:07 am