Natafuta nozzles za Ford Ranger 3.2 used, naweza kupata kwa bei gani
Kwanini used boss?
Budget yangu ndogo
Siwezi kushauri ununue Nozzles used huku ulipie gharama za usafiri bora ungoje ujipange ununue mpya.
Ok sawa mkuu mpya inakwenda kwa bei gani nataka pc 5
Engine ina piston 5
Ila spec ni year of manufacture, 2014 chassis number 6FPPXXMJ2PEB17470
Engine number SA2HPEB17470
Engine capacity 3200
Hizo details zinatosha? Maana gari siko nayo karibu
Sawa naomba muda kidogo
Ok sawa mkuu
Mkuu any update on nozzles
@theodory-za-ni Leo nitakupa mrejesho,kuna kazi namalia kuifanya mida mida.
Nimenda kwa Dealer wa Ford jirani yangu,wana uza 3.5ml Tsh,naendelea kuwasiliana na Dealers wengine maeneo mbalimbali kuwalingasha bei.
Zote pcs 5.
Vipi umeta ?