Notifications
Clear all

Natafuta watu wakubandika mabango

4 Posts
3 Users
1 Reactions
43 Views
Malingumu
(@malingumu)
Posts: 51
DIG-PESA
Topic starter
 

Kama unataka kazi ya kubandika mabongo sehemu mbalimbali kwenye mitaa ya Dar wasilina na mimi kwenye coment section,nahitaji watu wengi sana.


 
Posted : September 3, 2025 10:21 pm
Muta Ngegi reacted
Ally Kanagawa
(@ally-kanagawa)
Posts: 126
Seller
 

@malingumu Hii kazi naitaka nikutumia whatspp namba naomba majibu.


 
Posted : September 4, 2025 6:08 am
Malingumu
(@malingumu)
Posts: 51
DIG-PESA
Topic starter
 

@ally-kanagawa Kuwa serious bhana.


 
Posted : September 4, 2025 7:52 am
(@double-j-timber)
Posts: 8
Balance 0.000
 

Hii kazi naitaka naomba tenda ya wilaya moya mtu wangu.


 
Posted : September 5, 2025 4:43 am