Notifications
Clear all

Kama kuna mtu yuko Arusha nomba tuwasiliane

4 Posts
2 Users
0 Reactions
46 Views
(@ray-kabugumila)
Posts: 17
2.ml Balance
Topic starter
 

Kama kuna mtu yuko Arusha Mjini naomba ni pm nikupe maelekezo.


 
Posted : September 2, 2025 5:03 pm
Arusha Icon
(@arusha-icon)
Posts: 34
Seller
 

@ray-kabugumila Niko hapa kwa unashidigani?


 
Posted : September 2, 2025 5:07 pm
(@ray-kabugumila)
Posts: 17
2.ml Balance
Topic starter
 

@arusha-icon Kuna sehemu nitakuelezeza unichulie mzigo wangu unitumie kwenye basi,vipi unaweza kunisaidia ndugu yangu?


 
Posted : September 2, 2025 5:11 pm
Arusha Icon
(@arusha-icon)
Posts: 34
Seller
 

@ray-kabugumila Hapana.I am busy


 
Posted : September 2, 2025 5:16 pm