Notifications
Clear all

Karibu ununue bati kiwandani kwetu moja kwa moja upate offa

10 Posts
5 Users
5 Reactions
111 Views
James Kasekwa
(@james-kasekwa)
Posts: 7
Seller
Topic starter
 

1.usafiri bure mpaka site
2.warrant 10 years
3.ushauri jinsi ya kuweka paa LA kisasa
4.Uhuru kuchagua rangi wataka
5. Bati kufika kwa wakati site

Tupo live masaa 24/7  tunatuma bati popote.share hii post iwafikie watu wengi.

 

mabati

 
Posted : September 2, 2025 2:11 pm
(@marumo)
Posts: 18
Deposit 50K
 

@james-kasekwa Ungetupa Price list ya mabati yote mkuu badala ya kutangaza mabati bila size na bei zake.


 
Posted : September 2, 2025 2:28 pm
James Kasekwa
(@james-kasekwa)
Posts: 7
Seller
Topic starter
 

@marumo

BATI 1 NI 23,450/ KWA Gage 30 migongo mipana au midogo NA

👉BANDO 1 NI 375,000/ ina bati (16)ZA RANGI ZA MIGONGO gage 30 migongo mipana au midogo

👉BATI 1 NI 39,000/ KWa Gage 28 migongo mipana au midogo NA

👉BANDO YAKE NI 468,000/ ZA RANGI ZA MIGONGO bando ina bati (12) gage 28 migongo mipana au midogo

👉BATI 1 NI 37,500 KWA G30 ZA VIGAE AU VERSATILE gage 30 isiyo ya chenga

👉BANDO YAKE NI 576,000/ ZIKO 16 kwa baNDO 1 gage 30 vigae isiyo chenga

👉BATI 1 NI 43,000/ KWA G28 ZA VIGAE AU VERSATILE gage 28 isiyo chenga

👉KIGAE CHENGA PC 1 ni 39,000

👉bando 1 ina bati 16 bei 624,000 kigae chenga gage 30

👉KIGAE CHENGA GAGE 28 pc 1 ni 48,000

👉BANDO 1 NI IKO NA BATI 12 bei 576,000gage 28 vigae chenga

🈴Lugoba bati 1 ni 43,000 gage 30

🈴lugoba bati 1 ni 55,000 gage 28

🔴BATI ZA CHENGA G30 BATI 1 NI 27,500 Migongo mipana au midogo bei ni moja

🔴BANDO 1 ina bati 16 na bei NI 440,000/ GAGE 30 ZA CHENGA CHENGA migongo mipana au midogo bei ni moja

🔴BATI 1 NI 45,000 KWA GAGE 28 migongo mipana au midogo

🔴BANDO 1 IKO NA BATI 12 BEI 540,00/ GAGE 28 migongo mipana au midogo

✅KOFIA YA CHENGA 15,000 gage 30

✅kofia ya chenga 20,000 gage 28

✅KOFIA NA GATA VALLEY NI 11,000 gage 30

✅kofia 17,000 valley 17,000 gage 28/ KWA kila PISI 1

👌MISUMARI KILO 1 NI 8000/

🈴UKINUNUA BATI KIWANDANI KWETU UTAPATA OFAA


 
Posted : September 2, 2025 3:03 pm
marumo reacted
(@marumo)
Posts: 18
Deposit 50K
 

@james-kasekwa nimekuelewa ngoja niupitia mkeka nitakurudia.


 
Posted : September 2, 2025 3:06 pm
James Kasekwa
(@james-kasekwa)
Posts: 7
Seller
Topic starter
 
image
image
image
image

 
Posted : September 2, 2025 3:09 pm

Jack
 Jack
(@jack)
Posts: 15
Current Balance 125K
 

Chenga chenga zikoje hizo?


 
Posted : September 2, 2025 3:22 pm
Malingumu
(@malingumu)
Posts: 51
DIG-PESA
 

Na site yangu Dege Kigamboni nitumie namba zako za simu.


 
Posted : September 4, 2025 5:44 am
James Kasekwa
(@james-kasekwa)
Posts: 7
Seller
Topic starter
 

Posted by: @jack

Chenga chenga zikoje hizo?

Bati quality hizo zinaitwa hivyo. 

 


 
Posted : September 4, 2025 5:51 am
James Kasekwa
(@james-kasekwa)
Posts: 7
Seller
Topic starter
 

@malingumu Angalia kwenye messenger nitukutumia.


 
Posted : September 4, 2025 5:52 am
 1985
(@1985)
Posts: 2
Balance 0.000
 

@james-kasekwa Ngoja kwanza ni nunue kiwanja.


 
Posted : September 4, 2025 8:52 pm