Habari wakuu mwenye kuuza hii gari Nissan NP 300 hardbody 2015..2.0L double cabinÂ
2015 Nissan Hardbody Np300 2.4i LWB 4x4 Pick Up Single Cab
Â
Muonekanano kama hii hapa kwenye picha?
Hili Gari hakikisha unapa Desel Engine.Â
Mileage 200,000 utachukua?
Hili Gari lipo linahitaji 32ml liko Dar.
0782885425
@luyanda-criss nmepiga kapokea mtu mwingne…huna namba nyingne
Hizi Gari zote petrol,kama una bajet ya Rand 100,000 nitakupa moja mzuri.
Vipi ulipata hili Gari?