Notifications
Clear all

OFFER [Sticky] Kwa Mahitaji ya Kiwanja Njoo Kwa Boss Kwezi.

30 Posts
16 Users
41 Reactions
382 Views
Boss Kwezi
(@boss-kwezi)
Posts: 8
Service Provider
Topic starter
 
BOSS KWEZI 2

Kama unafuta kiwanja kwenye Jiji la Dar Es Salaam Bado Hujachalewe Wasilina na Boss Kwezi Upate

Viwanja Vya uhakika.

Wasilina na Mimi kupita kwenye Page Hii au Piga nambazangu Hapa Juu kwenye Tangazo.

0760171717

0674134134

Ulizia Boss Kwezi.

kila kwenye comment kuna juu ukiangalia vizuri kuna alama ya share,gusa hapo kwenye alama ya share kwenye mitandao yote ya kijamii.πŸ‘†πŸΏπŸ‘†πŸΏπŸ—£πŸ€™πŸ€

Posted : August 18, 2025 9:38 am
meruly, Jonson25, Arusha Linksolutions and 27 people reacted
(@duduma)
Posts: 2
Balance 0.000
 
Ungeweka sehemu ambako viwanja vipo pomaja na bei ingependeza zaidi.

Posted : August 18, 2025 9:49 am
Kidedea reacted
(@Anonymous)
Posts: 0
 
Huku Mwanza mnaviwanja?

Posted : August 18, 2025 4:44 pm
Hello Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
(@hello-tanzania)
Posts: 18
Balance 0.000
 
Nauza kiwanza vipi unanunua?

Posted : August 20, 2025 5:06 pm
(@vanessa-kitare)
Posts: 5
Balance 0.000
 
@hello-tanzania 😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣

Posted : August 20, 2025 5:09 pm

(@kabandwa)
Posts: 40
Balance 0.000
 
Natafuta kakiwanja kamoja kenye Β ngogoro nitakapata kwa bei gani?

Posted : August 20, 2025 5:12 pm
(@pili-matiku)
Posts: 16
Available 20K
 
@kabandwa umenikumbusha mbali sana I see 😅😅😅😅

Posted : August 20, 2025 5:16 pm
Lucas
(@lucas)
Posts: 22
Car Dealers
 
@pili-matiku kwenye Ardhi ukienda kichwa kichwa utalia machozi ya damu.

Posted : August 20, 2025 5:19 pm
Senforoza reacted
(@kabandwa)
Posts: 40
Balance 0.000
 
@pili-matiku ilikuwaje mbona unacheka sasa?

Posted : August 20, 2025 5:21 pm
(@kabandwa)
Posts: 40
Balance 0.000
 
@lucas maanaa Maligned wote wa mjini wako kwenye hiyo indast ya kuuza nyumba viwanja na kupangisha nyumba na vyumba 🤪🤪🤪

Posted : August 20, 2025 5:25 pm

(@pili-matiku)
Posts: 16
Available 20K
 
@kabandwa Ebu niache kidogo I see,bado niko kwenye daladala nacheka kila moja anashanga kuliko ni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Posted : August 20, 2025 5:29 pm
Senator reacted
Fundi Magari
(@fundi-magari)
Posts: 17
Service Provider
 
Waenga wanasema Β Mtoto asipo chafuka achajifunzaje.

Posted : August 20, 2025 5:38 pm
Senator reacted
Boss Kwezi
(@boss-kwezi)
Posts: 8
Service Provider
Topic starter
 
@duduma Piga siku bro tukupe kiwanja kaka acha maneno mengi.

kila kwenye comment kuna juu ukiangalia vizuri kuna alama ya share,gusa hapo kwenye alama ya share kwenye mitandao yote ya kijamii.πŸ‘†πŸΏπŸ‘†πŸΏπŸ—£πŸ€™πŸ€

Posted : August 20, 2025 5:54 pm
Senforoza and Senator reacted
(@duduma)
Posts: 2
Balance 0.000
 
Asante sana Boss Kwezi Β huna baya niko Β pamoja sana na wewe ngoja nizichange namba za simu nimechukua nitakupigia.

Posted : August 20, 2025 6:03 pm
Senator reacted
Boss Kwezi
(@boss-kwezi)
Posts: 8
Service Provider
Topic starter
 
Asante kwakuwasiliana na Boss Kwezi na kupangiwa siku ya kwenda site kuchagua kiwanja chako ,tuko live tunauza viwanja visivyo na migogoro wala usumbufu wowote ,acha kupanga miliki kiwanja chako jenga nyumba yako itwa mwenye nyumba,usikubali kulipa kodi umri unaenda majukumu yanaongezeka njoo usipate shida na kiwanjaΒ  tupo kwajili yako.

Β 

Kama unafuta kiwanja kwenye Jiji la Dar Es Salaam Bado Hujachalewe Wasilina na Boss Kwezi Upate

Viwanja Vya uhakika.

Wasilina na Mimi kupita kwenye Page Hii au Piga nambazangu Hapa Juu kwenye Tangazo.

0760171717

0674134134

Ulizia Boss Kwezi.

kila kwenye comment kuna juu ukiangalia vizuri kuna alama ya share,gusa hapo kwenye alama ya share kwenye mitandao yote ya kijamii.πŸ‘†πŸΏπŸ‘†πŸΏπŸ—£πŸ€™πŸ€

Posted : August 20, 2025 6:08 pm
Senator reacted

(@pili-matiku)
Posts: 16
Available 20K
 
Pamoja sana Boss Kwezi

Posted : August 20, 2025 9:10 pm
(@zaitun)
Posts: 13
Available 20K
 
Namba yangu mwisho 345 nashida na kiwanja Lumumba kibamba jmosi nakuja kukagua.

Posted : August 20, 2025 9:13 pm
Boss Kwezi
(@boss-kwezi)
Posts: 8
Service Provider
Topic starter
 
Asante karibuni sana. 👍 👍 👍 👍Β 

kila kwenye comment kuna juu ukiangalia vizuri kuna alama ya share,gusa hapo kwenye alama ya share kwenye mitandao yote ya kijamii.πŸ‘†πŸΏπŸ‘†πŸΏπŸ—£πŸ€™πŸ€

Posted : August 20, 2025 9:15 pm
James Kanyambo
(@james-kanyambo)
Posts: 3
Balance 0.000
 
Jamaa wakitambo sana.Matangazo yake yapo kila sehemu barabarani ukipita mitaa ya river side kimara yapo miaka mingi sana.big up bro pambana.

Posted : August 20, 2025 9:29 pm
Senator reacted
Senator
(@senator)
Posts: 9
Balance 0.000
 
Au wewe ni ndugu yakeΒ  na Boss Kalewa Leo?

Posted : August 20, 2025 9:35 pm

Boss Kwezi
(@boss-kwezi)
Posts: 8
Service Provider
Topic starter
 
@senator HapanaΒ  mkuu,hakikisha una tap tap screen huku mkishare live kwenye mitandao ya kijamiiΒ  tuwafikia watu wengi wakanunue viwanja.

bonyeza alama ya kushare page iko hivi kila kwenye comment kuna juu ukiangalia vizuri kuna alama ya share,shika hicho kialama share kwenye mitandao ya kijamiiΒ  tuwafikie watu wengi.Asante usiku mwema.

kila kwenye comment kuna juu ukiangalia vizuri kuna alama ya share,gusa hapo kwenye alama ya share kwenye mitandao yote ya kijamii.πŸ‘†πŸΏπŸ‘†πŸΏπŸ—£πŸ€™πŸ€

Posted : August 20, 2025 9:47 pm
Kidedea
(@kidedea)
Posts: 19
Available 20K
 
Kigamboni Sehemu gani boss?

Posted : August 28, 2025 8:58 am
Boss Kwezi
(@boss-kwezi)
Posts: 8
Service Provider
Topic starter
 
@kidedea Nbuyuni Boss wangu.

kila kwenye comment kuna juu ukiangalia vizuri kuna alama ya share,gusa hapo kwenye alama ya share kwenye mitandao yote ya kijamii.πŸ‘†πŸΏπŸ‘†πŸΏπŸ—£πŸ€™πŸ€

Posted : August 28, 2025 9:01 am
Kidedea
(@kidedea)
Posts: 19
Available 20K
 
Posted by: @boss-kwezi

@kidedea Nbuyuni Boss wangu.

Mbuyuni vinaanzai bei?

Β 

Posted : August 28, 2025 9:12 am
Boss Kwezi
(@boss-kwezi)
Posts: 8
Service Provider
Topic starter
 
@kidedea Viwanja vinaanzia 20x20 kwa 2,500,00 tu.

kila kwenye comment kuna juu ukiangalia vizuri kuna alama ya share,gusa hapo kwenye alama ya share kwenye mitandao yote ya kijamii.πŸ‘†πŸΏπŸ‘†πŸΏπŸ—£πŸ€™πŸ€

Posted : August 28, 2025 9:29 am
Mziwanda reacted

 1985
(@1985)
Posts: 2
Balance 0.000
 
@boss-kwezi Hivi naweza kulipa kidogokidogo hadi nikamaliza deni lote?

Posted : September 4, 2025 8:50 pm
(@double-j-timber)
Posts: 8
Balance 0.000
 
Mkisha nunua viwanja naomba kila moja ani follow nimtagΒ  posts za mbao nikawauzieΒ  kwajili ya ujenzi.

Posted : September 5, 2025 4:47 am
(@double-j-timber)
Posts: 8
Balance 0.000
 
Wapi Kibamba au Tabata?

Posted : September 5, 2025 5:28 am
(@joack-agrovet)
Posts: 2
Balance 0.000
 
Ngoja ni share hii na mtu moja anashida na kiwanja.

Posted : September 5, 2025 5:43 am
Boss Kwezi
(@boss-kwezi)
Posts: 8
Service Provider
Topic starter
 
@1985 Njoo Ofisi tuyaje Tajiri

kila kwenye comment kuna juu ukiangalia vizuri kuna alama ya share,gusa hapo kwenye alama ya share kwenye mitandao yote ya kijamii.πŸ‘†πŸΏπŸ‘†πŸΏπŸ—£πŸ€™πŸ€

Posted : September 5, 2025 4:52 pm