Notifications
Clear all

URGENTLY WATENTED Toyota Isisi 2010 inahitajika

3 Posts
2 Users
0 Reactions
20 Views
AnonyMouse
(@anonymouse)
Posts: 6
Balance 0.000
Topic starter
 

Habari wadau wa Magari 

 

mwenye Toyota Isisi naomba iweke hapa na bei yake.

1.Mwaka 2010

2.Rangi blue au sliver 

3.cc 1,500 hadi 1,8000

Njoo na picha na bei 

 
Posted : August 23, 2025 7:19 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 488
Seller
 

Weka na bajet yako.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

 
Posted : August 23, 2025 9:10 am
AnonyMouse
(@anonymouse)
Posts: 6
Balance 0.000
Topic starter
 

@jonson-john 10ml

 
Posted : August 23, 2025 10:11 am

Leave a reply

Author Name

Author Email

Title *

My Media   or drag and drop it here. Max file size 1GB
 
Preview 0 Revisions Saved