Twende kazi sema mwenyewe unota bei gani?
Hakikisha unashare huu mnada kwenye mitandao mingine ya kijamii kabla ya mnada kuisha ndani ya mataa 24 kuanzia leo ijumaa.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Namba mbili 2 mbona kama kio kinashida.
@mziwanda zote zinawaka hicho kioo utabadilisha mwenyewe,siku zinauzwa kama zilivyo
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Share hii live auction hakikisha unashare na rafiki zako kwenye mitandao ya kijamii kwa Bonyeza share batani hapo juu kulia au copy url juu kwenye address kisha past kwenye mitandao ya kijamii
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
@jonson-john Kama unaweza kunionyesha kwa picha jinsi ya share live hii auction kwenye mitandao mingine ingekua vizuri kwasabu mimi sioni jinsi ya kushare kwenye Facebook na kwengine.
Hii ni njia ya kwanza ya kushare page zetu mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
110,000 hipo mezani.
Guys nimesema hivi kama huna vigezo vya kushiriki mnada naomba ushiriki mnada badala yake share minada yetu iende Vilar
Kushiriki mnada huu hakikisha
ukiona mtu kabidi lakini profile yake ni iko mama lake that member ☝🏾Usihesabu offa yake ni batili.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
weka na njia ya 3 niwasaidie ku share hizi simu live yenu iende velar maisha ya singe
Hii ni njia ya kwanza ya kushare page zetu mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii.
- Copy link
- Past link kwenye mitandao
H ii ni njia nyingine ya kushare page
hapo juu kulia mwisho kuna batani ya share bonyeza itakuletea option share kwenye mitandao ya
Hakikisha unashare mnada huu na Mungu atakubariki.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Umeshinda mnada bro asante sana,mzigo wako utatumwa kwenye next shipment.Sawa natao 100,000 pamoja na charger zake.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
hili nikosa la kiufundi umefanya mkuu angalia mbona unampa simu mtu mwenye offa ndogo unaniacha mimi mwenye offa kuwa acha upendeleo
Hawa watu hata huku Ulaya wapo,umeambiwa Vigezo pamoja na kuwa na balance lazima ujisajili ili ujulikane angalau address yako Anonymous