Bajet yangu ni 17ml kilakitu hadi usajili.Kama unalo hapa naomba picha tufanye biashara.
@joyce-ivan chkua Raum New kwa 12 chap kwa hahara.
Ungeweka picha yako kwenye profile ungepata Gari faster.
weka namba Yako nikucheki kuna sehemu lipo bila mawasiliano utapataje taarifa dada yangu.
@steven-mlawa Unataka namba yangu ya nini,kama una Gari weka picha namba nitakupa baada ya kuweka Gari hapa.
Hii
Toyota Spacial
Year 2004
Color grey
Cc 1490
Low mielage
Price 7.8M
Nakulipia ushuru pamoja na usajili na vibao vya namba nalipia mimi kasaro insurance,kama uko tayari ingia DM nimekupe msharti na vigezo.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Hili Gari liko Japan au bongo?
Liko Dar.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿