Notifications
Clear all

OFFER [Sticky] Kwa Mahitaji ya Kiwanja Njoo Kwa Boss Kwezi.

15 Posts
9 Users
14 Reactions
64 Views
Boss Kwezi
(@boss-kwezi)
Posts: 3
Service Provider
Topic starter
 
BOSS KWEZI 2

Kama unafuta kiwanja kwenye Jiji la Dar Es Salaam Bado Hujachalewe Wasilina na Boss Kwezi Upate

Viwanja Vya uhakika.

Wasilina na Mimi kupita kwenye Page Hii au Piga nambazangu Hapa Juu kwenye Tangazo.

0760171717

0674134134

Ulizia Boss Kwezi.

 
Posted : August 18, 2025 9:38 am
Duduma, Fundi Magari, Lucas and 11 people reacted
(@duduma)
Posts: 2
Balance 0.000
 

Ungeweka sehemu ambako viwanja vipo pomaja na bei ingependeza zaidi.

 
Posted : August 18, 2025 9:49 am
(@Anonymous)
Posts: 0
 

Huku Mwanza mnaviwanja?

 
Posted : August 18, 2025 4:44 pm
Hello Tanzania 🇹🇿
(@hello-tanzania)
Posts: 18
Balance 0.000
 

Nauza kiwanza vipi unanunua?

 
Posted : August 20, 2025 5:06 pm
(@vanessa-kitare)
Posts: 5
Balance 0.000
 

@hello-tanzania 😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣

 
Posted : August 20, 2025 5:09 pm

(@kabandwa)
Posts: 40
Balance 0.000
 

Natafuta kakiwanja kamoja kenye  ngogoro nitakapata kwa bei gani?

 
Posted : August 20, 2025 5:12 pm
(@pili-matiku)
Posts: 15
Balance 0.000
 

@kabandwa umenikumbusha mbali sana I see 😅😅😅😅

 
Posted : August 20, 2025 5:16 pm
Lucas
(@lucas)
Posts: 22
Buyer Car Dealers
 

@pili-matiku kwenye Ardhi ukienda kichwa kichwa utalia machozi ya damu.

 
Posted : August 20, 2025 5:19 pm
(@kabandwa)
Posts: 40
Balance 0.000
 

@pili-matiku ilikuwaje mbona unacheka sasa?

 
Posted : August 20, 2025 5:21 pm
(@kabandwa)
Posts: 40
Balance 0.000
 

@lucas maanaa Maligned wote wa mjini wako kwenye hiyo indast ya kuuza nyumba viwanja na kupangisha nyumba na vyumba 🤪🤪🤪

 
Posted : August 20, 2025 5:25 pm

 

AGIZA SIMU ORIGINAL KUTOKA JAPAN,KUANZIA 50,000 TU .

(@pili-matiku)
Posts: 15
Balance 0.000
 

@kabandwa Ebu niache kidogo I see,bado niko kwenye daladala nacheka kila moja anashanga kuliko ni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

 
Posted : August 20, 2025 5:29 pm
Fundi Magari
(@fundi-magari)
Posts: 15
Service Provider
 

Waenga wanasema  Mtoto asipo chafuka achajifunzaje.

 
Posted : August 20, 2025 5:38 pm
Boss Kwezi
(@boss-kwezi)
Posts: 3
Service Provider
Topic starter
 

@duduma Piga siku bro tukupe kiwanja kaka acha maneno mengi.

 
Posted : August 20, 2025 5:54 pm
(@duduma)
Posts: 2
Balance 0.000
 

Asante sana Boss Kwezi  huna baya niko  pamoja sana na wewe ngoja nizichange namba za simu nimechukua nitakupigia.

 
Posted : August 20, 2025 6:03 pm
Boss Kwezi
(@boss-kwezi)
Posts: 3
Service Provider
Topic starter
 

Asante kwakuwasiliana na Boss Kwezi na kupangiwa siku ya kwenda site kuchagua kiwanja chako ,tuko live tunauza viwanja visivyo na migogoro wala usumbufu wowote ,acha kupanga miliki kiwanja chako jenga nyumba yako itwa mwenye nyumba,usikubali kulipa kodi umri unaenda majukumu yanaongezeka njoo usipate shida na kiwanja  tupo kwajili yako.

 

Kama unafuta kiwanja kwenye Jiji la Dar Es Salaam Bado Hujachalewe Wasilina na Boss Kwezi Upate

Viwanja Vya uhakika.

Wasilina na Mimi kupita kwenye Page Hii au Piga nambazangu Hapa Juu kwenye Tangazo.

0760171717

0674134134

Ulizia Boss Kwezi.

 
Posted : August 20, 2025 6:08 pm

Leave a reply

Author Name

Author Email

Title *

My Media   or drag and drop it here. Max file size 1GB
 
Preview 0 Revisions Saved


DIGXAM

FREE
VIEW