Kama unahitaji mashine mpya taja sifa za mashine utatafuta niweke picha tufanye biashara.
Onyesha Upendo,hakikisha unashare page hii kwenye mitandao ya kijamii
@ally-kanagawa Hizo HP bei gani kamanda
@amidu Inategemea bei zinaanzia 5ml kwendelea.Hapa ni pcs original na Mpya.
@ally-kanagawa Nitafutie used moja kali sana.
Anzisha Uzi wa hiyo pc unataka,hapa ni mpya tu.