Naweza kupata oil ya Toyota origine kabisa number 20W-50 Engine ya Petrol ?
Unahitaji lita ngapi?
Lita tano bei gani?
@mama-sadiki Laki moja.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
Sawa nitakucheki unipakilie niweka salioΒ
Tayari nimeweka naomba ipakieΒ