Notifications
Clear all
OMBI! Weka na Kuuza Kitu Chochote Kupitia Planform Ukiwa Nyumbani Kwak.Ilituweze Kuwafikia Watu Wengi au Site Kwenda Viral, Nakuomba Share Pages Kadiri ya Uwezowako.Mungu Akubariki. By Admin Sinyorita.

Natafuta Engine ya Toyota Harrier A2Z

7 Posts
3 Users
0 Reactions
100 Views
Shalom
(@shalom)
Posts: 45
2.ml Balance
Topic starter
 

Habari ndugu zangu watu Mungu,

Nahitahi vifaa used kutoka Japan moja kwa moja na sio ilala au madukani.Code ni CBA-ACU30W

Kama uko Japan naomba tuwasiliane kupitia jukwaa hili,nahitahi kwajili ya Gari langu.

 

1.Engine ya Toyota Harrier A2Z full ikiwa na control box yake.

2.Radiator system ikiwa full na fan zake na kibuyu cha kutunzia maji.

bajati yangu ni 2ml.Sio maneno matupu Bali Balance imo kwenye wallet  mzigo ukifika nalipa 

 

 

 

 

 
Posted : July 30, 2025 6:31 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 474
Seller
 

@shalom Utapata kwa 3ml kilakitu hadi mkononi.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

 
Posted : August 4, 2025 2:26 am
(@Anonymous)
Posts: 0
 

Ipo naiuza 2ml niko Mbeya town 

 
Posted : August 17, 2025 8:56 pm
Shalom
(@shalom)
Posts: 45
2.ml Balance
Topic starter
 

@jonson-john Iko juu sana bei.

 
Posted : August 17, 2025 9:02 pm
Shalom
(@shalom)
Posts: 45
2.ml Balance
Topic starter
 

Ya Mbeya hapana.

 
Posted : August 17, 2025 9:03 pm
(@Anonymous)
Posts: 0
 

Mbona ilala zipo za kutosha nenda kachague.

 
Posted : August 17, 2025 9:05 pm
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 474
Seller
 
8BD49100 0821 4B45 80F8 23F841D6094A

Hii iko full na vifaa vyake vyote pamoja na control box yake bado bei yake ya kawaida sana.

 

kama uko serious njoo private tumalize hii biashara 

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

 
Posted : August 18, 2025 6:34 am

Leave a reply

Author Name

Author Email

Title *

My Media   or drag and drop it here. Max file size 1GB
 
Preview 0 Revisions Saved

DIGXAM

FREE
VIEW