Habari
Nitapata wapi bei ya Nissan Duals?
Nicheki kwenye namba yangu ya whatspp nitakupa bei.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Gari Lipo.Weka wazi bajeti yako.
Naomba namba yako nikupe Gari Kali sana.
Unata Gari la mwaka Gani?
Shida yangu ni bei ya Nissan Duals sijasema na nahitaji Gari.Kama unajua bei naomba unihbarishe hapa chini.
Huu mwaka kabla ya kuisha lazima nimiliki hili Gari.
Umepata?