Hii machine inauzwa au zawadi?
Naomba nigawie mimi boss wangu
Hii nauzwa lakini sio mpya ni mtumba original kama unahitaji toa 350,000 tu.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Cahangamoto inakuja kwenye hiyo lugha hii machine ni mzuri sawa lakini unaitumiaje na hiyo Lugha?
Hii lugha isikutishe bosi tuna tafsiri kilakitu
hapo kuna kuosha na kukausha
kuna kuosha bila kukausha
kuna kukausha bila kuosha
kutana sehemu ya kuchagua aina ya Nguo
nitakubanfikia stika ya kingereza au kiswahili.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Nitumie video yake inavyofanyakazi ni machine ya kufulia ,nguo
Naweza kuipata wapi
Hii machine iko Japan, nitakutumia video hapa uine ni mzima kabaisa, bei yake ni hiyo.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
@senator Yes.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Bei ya kuuza ni ngapi?
Bei kubwa hiyo kaka,kula 150k chap kwa haraka.
350,000Bei ya kuuza ni ngapi?
jinsi ya kulipa hii machine unaweka 350,000 kwenye wallet ya account yako nitaona balance na kukuachia hii mashine.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Naomba nimalize hii biashara ya hii mashine ipakie nahitaji.
@stomatolog_xwsn Asante sana.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Tangu jana hii biashara nimeifunga hii mashine nahitaji.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Hapa biashara ufanyikia kidigital unafungaje biashara wakati huna hata mia kwenye account yako? wabongo bwana.Tangu jana hii biashara nimeifunga hii mashine nahitaji.
@senator Kaa kwakutulia jifunze mambo mampya,usikurupuke mambo yanabadilika kwa kasi ya mwanga 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 pole sana.
Kuuliza sio ujinga mbona mimi sio hizo option za wallet jamani mefanyaje?
Umefanyaje mbona account yangu na yako ni tofauti ebu naomba msaada kunasiku nisije hitaji kitu humu ndani nikaishia kuzuia na mikono 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍Naomba nimalize hii biashara ya hii mashine ipakie nahitaji.
@Daudi-Ambiance Mimi pia mgeni.
Ukiwa na changamoto yoyote una tag @admin au @digxam pia @ unaweza kutag @moderator
moja wapo kati ya hawa anaweza kutatua changamoto yako.
Asante kwa kukubali na kununua bidhaa zetu 🙌🏿🙌🏿
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Habari za weekend mabibi na mabwana!
hili swali nime kuwa nikilijibu kila mala kupitia hapa kwenye platform mbalimbali.
kunanjia mbili za kuingia kwenye website hii na kufanya kazi zako nika nitavyo zieleza hapo chini.
1.KUJISAJLI
Hii ni njia mzuri zaidi kwasabu utatumia account moja mwanzo mwisho bila kukulazimu kufungua account nyungine huko mbeleni ikitokea ukihitaji kunua kitu chochote au kulipia huduma.
2.KUTOKUJISAJILI
hii rule tumewezesha watu kuingia naku access kwenye platform zetu zote bila usajili kwasabu mbalimbali zikiwepo baadhi ya watu kushindwa kufungua account na kukosa huduma zetu hii ni kwajili ya kuliza nfano bei au umekwama kujisaji unahitahi msaada ili ujisajili nk.
kwakutumia njia hii ningumu kufanya vitu vifuatavyo.
1.Kununua kitu chochote kwasabu ya kutokuwa na tarifa
2.Kuna features nyingi kama private messaging nk uwezi access.
3.Kama unahitaji kujisajili bonye hii link jisajili leo
Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link
Mwisho kupitia kwenye hii platform ni marufuku kutukana,tuna rules zetu na kila mtu hapa kazipitia na kukubali kuziheshimu huvyo basi sutegemea watu au mtu kwenda kinyume na makubaliano.
Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link
Asante sana nimekusoma.
Oooh okay 👍
Usituchoke @moderator ngoja nifanye majaribio ya kuku tag kabla ujaondoka hapa.
Asante kwa kutembea Digxam kama kuna jambo lolote unahitaji ufafanuzi naomba niwasaid.Usituchoke @moderator ngoja nifanye majaribio ya kuku tag kabla ujaondoka hapa.
Pia huduma yetu ni 24/7 muda wowote ukipata changamo nitag
Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link
Hizi machine tafuta nyingi leta hapa.