Notifications
Clear all

OMBO!Ili Kuwafikia watu Wengi Au Site kwenda Viral Nakuomba Share Pages Kadiri ya Uwezowako na Mungu Akubariki. by admin Sinyorita.

Nani antakahii washing machine kampuni ya sharp

32 Posts
7 Users
0 Reactions
259 Views
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 473
Seller
Topic starter
 
image
image
image
image
image

Nani antakahii washing machine kampuni ya sharp?

kama unahitaka comment hapo chini.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : August 16, 2025 10:05 am
Senator
(@senator)
Posts: 6
Balance 0.000
 
Hii machine inauzwa au zawadi?

Posted : August 16, 2025 1:16 pm
(@Dudu Ambiance)
Posts: 9
 
Naomba nigawie mimi boss wangu

Posted : August 16, 2025 1:18 pm
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 473
Seller
Topic starter
 
Hii nauzwa lakini sio mpya ni mtumba original kama unahitaji toa 350,000 tu.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : August 16, 2025 1:26 pm
(@Manushi)
Posts: 3
 
Cahangamoto inakuja kwenye hiyo lugha hii machine ni mzuri sawa lakini unaitumiaje na hiyo Lugha?

Posted : August 16, 2025 1:35 pm

AGIZA SIMU ORIGINAL KUTOKA JAPAN,KUANZIA 50,000 TU .

Itachukua Muda wa Week Moja Hadi Mwezi Moja Kukufikia.

Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 473
Seller
Topic starter
 
Hii lugha isikutishe bosi tuna tafsiri kilakitu 

hapo kuna kuosha na kukausha

kuna kuosha bila kukausha 

kuna kukausha bila kuosha 

kutana sehemu ya kuchagua aina ya Nguo

nitakubanfikia stika ya kingereza au kiswahili. 

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : August 16, 2025 1:42 pm
(@Anonymous)
Posts: 0
 
Nitumie video yake inavyofanyakazi ni machine ya kufulia  ,nguo

Posted : August 16, 2025 1:47 pm
(@Anonymous)
Posts: 0
 
Naweza kuipata wapi

Posted : August 16, 2025 1:50 pm
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 473
Seller
Topic starter
 
Hii machine iko Japan, nitakutumia video hapa uine ni mzima kabaisa, bei yake ni hiyo.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : August 16, 2025 1:54 pm
Senator
(@senator)
Posts: 6
Balance 0.000
 
@jonson-john Utabandika stika ya maelezo namna yakuitumia sio?

Posted : August 16, 2025 2:02 pm

Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 473
Seller
Topic starter
 
@senator Yes.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : August 16, 2025 2:04 pm
Senator
(@senator)
Posts: 6
Balance 0.000
 
Bei ya kuuza ni ngapi?

Posted : August 16, 2025 2:13 pm
(@Dudu Ambiance)
Posts: 9
 
Bei  kubwa hiyo kaka,kula 150k chap kwa haraka.

Posted : August 16, 2025 2:30 pm
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 473
Seller
Topic starter
 
Posted by: @senator

Bei ya kuuza ni ngapi?

350,000  

jinsi ya kulipa hii machine unaweka 350,000 kwenye wallet ya account yako nitaona balance na kukuachia hii mashine.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : August 17, 2025 5:09 am
AKAMBA
(@stomatolog_xwsn)
Posts: 22
2.ml Balance
 
Naomba nimalize hii biashara ya hii mashine ipakie nahitaji.

Posted : August 17, 2025 5:16 am

AGIZA SIMU ORIGINAL KUTOKA JAPAN,KUANZIA 50,000 TU .

Itachukua Muda wa Week Moja Hadi Mwezi Moja Kukufikia.

Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 473
Seller
Topic starter
 
@stomatolog_xwsn Asante sana.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : August 17, 2025 5:19 am
Senator
(@senator)
Posts: 6
Balance 0.000
 
Tangu jana hii biashara nimeifunga hii mashine nahitaji.

Posted : August 17, 2025 5:31 am
Fundi Magari
(@fundi-magari)
Posts: 13
Service Provider
 
Posted by: @senator

Tangu jana hii biashara nimeifunga hii mashine nahitaji.

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣  Hapa biashara ufanyikia kidigital unafungaje biashara wakati huna hata mia kwenye account yako?  wabongo bwana.

Posted : August 17, 2025 5:35 am
Senator
(@senator)
Posts: 6
Balance 0.000
 
@fundi-magari Acha umbea mtoto wa kiume utaolewa siku sinyingi.

Posted : August 17, 2025 5:38 am
Fundi Magari
(@fundi-magari)
Posts: 13
Service Provider
 
@senator Kaa  kwakutulia jifunze mambo mampya,usikurupuke mambo yanabadilika kwa kasi ya mwanga 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 pole sana.

Posted : August 17, 2025 5:44 am

(@Dudu Ambiance)
Posts: 9
 
Kuuliza sio ujinga mbona mimi sio hizo option za wallet jamani mefanyaje?

Posted : August 17, 2025 5:48 am
(@Dudu Ambiance)
Posts: 9
 
Posted by: @stomatolog_xwsn

Naomba nimalize hii biashara ya hii mashine ipakie nahitaji.

Umefanyaje mbona account yangu na yako ni tofauti ebu naomba msaada kunasiku nisije hitaji kitu humu ndani nikaishia kuzuia na mikono 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 

Posted : August 17, 2025 5:53 am
AKAMBA
(@stomatolog_xwsn)
Posts: 22
2.ml Balance
 
@Daudi-Ambiance Mimi pia mgeni.

Posted : August 17, 2025 6:04 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 473
Seller
Topic starter
 
Ukiwa na changamoto yoyote una tag @admin au @digxam pia @ unaweza kutag @moderator 

moja wapo kati ya hawa anaweza kutatua changamoto yako.

Asante kwa kukubali na kununua bidhaa zetu 🙌🏿🙌🏿

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : August 17, 2025 6:09 am
Moderator
(@moderator)
Posts: 135
Moderator
 
Habari za weekend mabibi na mabwana!

hili swali nime kuwa nikilijibu kila mala kupitia hapa kwenye platform mbalimbali.

kunanjia mbili za kuingia kwenye website hii na kufanya kazi zako nika nitavyo zieleza hapo chini.

1.KUJISAJLI

Hii ni njia mzuri zaidi kwasabu utatumia account moja mwanzo mwisho bila kukulazimu kufungua account nyungine huko mbeleni ikitokea ukihitaji kunua kitu chochote au kulipia huduma.

2.KUTOKUJISAJILI 

hii rule tumewezesha watu kuingia naku access kwenye  platform zetu zote bila usajili kwasabu mbalimbali zikiwepo baadhi ya watu kushindwa kufungua account na kukosa huduma zetu hii ni kwajili ya kuliza nfano bei au umekwama kujisaji unahitahi msaada ili ujisajili nk.

kwakutumia njia hii ningumu kufanya vitu vifuatavyo.

1.Kununua kitu chochote kwasabu ya kutokuwa na tarifa 

2.Kuna features nyingi kama private messaging nk uwezi access.

3.Kama unahitaji kujisajili  bonye hii  link jisajili leo 

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

Posted : August 17, 2025 6:59 am

AGIZA SIMU ORIGINAL KUTOKA JAPAN,KUANZIA 50,000 TU .

Itachukua Muda wa Week Moja Hadi Mwezi Moja Kukufikia.

Moderator
(@moderator)
Posts: 135
Moderator
 
Mwisho kupitia kwenye hii platform ni marufuku kutukana,tuna rules zetu na kila mtu hapa kazipitia na kukubali kuziheshimu  huvyo basi sutegemea watu au mtu kwenda kinyume na makubaliano.

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

Posted : August 17, 2025 7:03 am
Moderator
(@moderator)
Posts: 135
Moderator
 
Jinsi ya kununua bidhaa kupitia hii platform kuna miongozo yetu unawza kuipitia bonyeza hapa 

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

Posted : August 17, 2025 7:09 am
(@Dudu Ambiance)
Posts: 9
 
Asante sana nimekusoma.

Posted : August 17, 2025 7:11 am
(@Sauda Sadiki)
Posts: 7
 
Oooh okay 👍 

Posted : August 17, 2025 7:18 am
(@Sauda Sadiki)
Posts: 7
 
Usituchoke @moderator ngoja nifanye majaribio ya kuku tag kabla ujaondoka hapa.

Posted : August 17, 2025 7:20 am

Moderator
(@moderator)
Posts: 135
Moderator
 
Usituchoke @moderator ngoja nifanye majaribio ya kuku tag kabla ujaondoka hapa.

Asante kwa kutembea Digxam kama kuna jambo lolote unahitaji ufafanuzi naomba niwasaid.

Pia huduma yetu ni 24/7 muda wowote ukipata changamo nitag

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

Posted : August 17, 2025 7:25 am
(@kayungi)
Posts: 18
Unlimited Member
 
Hizi machine tafuta nyingi leta hapa.

Posted : August 17, 2025 12:16 pm

Leave a reply

Author Name

Author Email

Title *

My Media   or drag and drop it here. Max file size 1GB
 
Preview 0 Revisions Saved

DIGXAM

FREE
VIEW