Uweka na bajeti yako tuone kama hii biashara inawezekana.
@ally-kanagawa Niandae bei gani mkuu na hitaji serious.
@kamau Mimi sina kwenye store yangu lakini ukiweka bei itanishawishi kuitafuta.