Notifications
Clear all

Unatafuta Adapter ya Computer Yako,au Unataka Kuanziashi Biashara ya Adapters

5 Posts
2 Users
1 Reactions
203 Views
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 518
Seller
Topic starter
 
image
image
image
image

Kama unahitaji Laptops Adapters original comment hapa chini 

  1. Tuambie aina ya kampuni untaka 
  2. Ukubwa  Adapter 
  3. Picha

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : August 9, 2025 2:18 pm
(@Manushi)
Posts: 3
 
Malipo yakoje

Posted : August 9, 2025 2:27 pm
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 518
Seller
Topic starter
 
Unawezaje kuliza malipo kabla ya adapter? Gays kuwa serous kama unahitahi adapter weka picha ya adampter yako ya zamani tukutafutie mpya.

Au kama unataka kuanzisha biashara ya adapter sema unataka adapters ngapi. 

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : August 9, 2025 2:38 pm
(@Manushi)
Posts: 3
 
Nahitaji moja ya Dell Inspiron 

Posted : August 9, 2025 2:41 pm
Jonson John reacted
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 518
Seller
Topic starter
 
Sawa nimekutumia private  Message  ainaza zote za Dell uchague mwenyewe.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : August 9, 2025 2:44 pm