Kama unahitaji Dagaa kwajili yako binafsi au biashara bei nikama hivi.
1.Dagaa wakavu kg 8,000 kuanzia kg 100 kwendelea
2.Dagaa wakukaanga wabichi kutoka ziwani ndoo kubwa bei yake ni 90,000 kuanzia ndoo mbili.
3.Dagaa wakavu wakukaanga bei yake kwa ndoo ni 70,000 kuanzia ndoo mbili.
4.Dagaa wabichi kg 10,000
kwawale wanaonza biashara nitawapa offa ya punguzo ya bei ili kuwatia moyo waanzapo biashara.
Mfumo ninautumia kufanya biashara ni huu hapa,hakikisha unaweka balance kwenye wallet yako.
Nitamtumia mteja wangu mzigo mwenye kuwa na pesa kiasi kinacholingana na bei ya Dagaa kulinga na bei nilizozitaja hapo juu.
Siweki namba ya simu hapa kwasabu kuna matapeli wanapiga simu na kunibabaisha kama unataka mawasiliano yangu Tuma private Messeges nitumie namna yako nitakuoigia ili kupunguza kucha hapa kwenye comment section,kupiga simu aimanishi kwamba nitakutumia mzigo bila kulipia hapa nilazima ulipie ndio nikutumie mzigo.
Kama unaswali uliza kuuliza ni bure sio lazima uwe na balance kwenye account yako.
😀 😍 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Hivi unajua maana ya Kalagutuka?
Unacheka jina langu sio,maana yake ni kalahendeka.😀 😍 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Hivi unajua maana ya Kalagutuka?
Utawatumaje Huku?
@jack Natuma ndani na nje ya nchi kupitia kwenye hii platform.
Nahitaji number mbili niko Dar,nimekutumia Private message piga nikupe maelekezo.
Mimi nahitaji wabichi?
Nahitaji wakavu kwajili ya Biashara.
@nyraha Naandaa mzigo wako nitakupigia unitumie address yako au nitumie PM.
@kamote Karibu sana.
1.Chagua kundi la Dagaa
2.weka salio
3.Tuma Address
Staki mambo mengi na kupoteza muda
@pandu Weka Salio nikutumie mzigo ukipokea mzigo wako nilipe pesa yangu
Kama umepokea mzigo wako naomba release pesa yangu kwenye wallet usikae nayo kwasabu uwezi kuitoa ikayoka unapoteza muda wako na kuchelewesha pesa zangu.
Wote miliagiza Dagaa wa bichi Lipia mzigo uko Tayari.
Wote miliagiza Dagaa wa bichi Lipia mzigo uko Tayari.
Wakukaanga