Notifications
Clear all

Hii Ndoo ya Dagaa wabichi utanipa Bei Gani

8 Posts
5 Users
4 Reactions
56 Views
Kalagutuka
(@kalagutuka)
Posts: 12
Balance 0.000
Topic starter
 

Kama unahitaji hii ndoo ya Dagaa coment chini.

 

 
Posted : May 10, 2025 2:38 am
MKEREWE, Kandida and Shalom reacted
Shalom
(@shalom)
Posts: 41
Available 100,000
 

@kalagutuka Huu mzigo unapatika sehemu gani?

 
Posted : May 10, 2025 2:45 am
Kandida
(@kandida)
Posts: 24
Balance 0.000
 

😀 😍 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Hivi unajua maana ya Kalagutuka?

 
Posted : May 10, 2025 2:48 am
Kalagutuka reacted
Kalagutuka
(@kalagutuka)
Posts: 12
Balance 0.000
Topic starter
 

@shalom Ziwa victor Kisiwa cha Katunguru wila Mleba.


 
Posted : May 10, 2025 2:52 am
MKEREWE
(@mkerewe)
Posts: 10
Seller
 

@kalagutuka Hii ni Ndoo au ni Dish?

 
Posted : May 10, 2025 2:57 am
Kalagutuka
(@kalagutuka)
Posts: 12
Balance 0.000
Topic starter
 

Posted by: @kandida

😀 😍 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Hivi unajua maana ya Kalagutuka?

Unacheka jina langu sio,maana yake ni kalahendeka.

 

 
Posted : May 10, 2025 3:01 am
Kalagutuka
(@kalagutuka)
Posts: 12
Balance 0.000
Topic starter
 

@mkerewe Dish samahani nimeteleza kidogo.

 
Posted : May 10, 2025 3:02 am
Jack
 Jack
(@jack)
Posts: 13
Deposit 50,000
 

Utawatumaje Huku?

 
Posted : May 10, 2025 7:27 am

Digxam

FREE
VIEW